Msichana wa miaka 17 auguza majeraha Narok baada ya kushambuliwa vibaya

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 1.7K views | 3w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Msichana wa miaka 17 katika kaunti ya Narok County anaendelea kuuguza majeraha baada ya kushambuliwa vibaya. Msichana huyo, ambaye kwa sasa anapatiwa matibabu, anasema mshukiwa aliyedaiwa kutaka kumdhulumu kijinsia alitoroka baada ya kumjeruhi. Kwengineko katika kaunti ya Nyamira County, familia ya mwanafunzi aliyeuawa na umati kwa tuhuma za wizi inaendelea kudai haki.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%