Wafanyabiashara na wamiliki wa vilabu wapinga mchakato wa ushirikishwaji wa umma kuhusu mswada wa tu

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 3w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Muungano wa wafanyabiashara na wamiliki wa vilabu nchini umepinga uhalali wa mchakato wa ushirikishwaji wa umma kuhusu Mswada wa Marekebisho ya Sheria ya Tumbaku wa mwaka 2024, uliopangwa kufanyika Juni 25, 2026. Wadau hao wanasema kuna masuala yanayohitaji kufafanuliwa kuhusu mchakato huo, wakitaka kuhakikisha maoni ya washikadau wote yanazingatiwa kabla ya hatua zaidi kuchukuliwa kuhusu mswada huo.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%