Viongozi wa Kajiado wahimiza vijana kudumisha amani wakati wa maandamano

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 16 views | 3w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Viongozi wa dini na viongozi wa jamii katika kaunti ya Kajiado wahimiza vijana kudumisha amani na kujiepusha na vurugu wakati wa maandamano. Viongozi hao wamesisitiza kuwa haki ya kuandamana ni ya kikatiba, lakini inapaswa kutekelezwa kwa njia ya amani, kwa kuzingatia sheria na kuheshimu mali ya wananchi ili kulinda usalama na mshikamano wa jamii.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%