Wakazi na viongozi wa Busia wawataka vijana kuepuka kutumiwa kisiasa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 15 views | 3w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wakazi pamoja na viongozi kutoka kaunti ya Busia wamewasihi vijana kutokubali kutumiwa na wanasiasa kuzua vurugu au kushiriki katika vitendo vya uhalifu. Wamesema tofauti za kisiasa hazipaswi kuwahusisha vijana kwa njia inayoweza kusababisha maafa, hofu au kuvuruga amani, wakitoa wito kwa vijana kuzingatia shughuli za maendeleo na kujiepusha na ushawishi unaoweza kuhatarisha mustakabali wao.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%