IEBC yazindua mikakati ya uchaguzi na mpango wa utekelezaji wa 2024–2029

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 20 views | 3w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka imezindua mikakati yake ya uchaguzi mkuu ujao pamoja na mpango wa utekelezaji wa majukumu yake kwa kipindi cha mwaka 2024 hadi 2029. Tume hiyo imesisitiza dhamira yake ya kuimarisha uwazi, uwajibikaji na ufanisi katika usimamizi wa uchaguzi, huku ikiwahakikishia Wakenya kuwa uchaguzi mkuu ujao utakuwa huru, wa haki na wenye kuaminika.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%