Viongozi wa kanisa Katoliki kutafuta suluhu ya machafuko Kitengela
Community Score: 50% | 250 views | 3w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Kanisa Katoliki katika mji wa Kitengela, Kaunti ya Kajiado kwa ushirikiano na wafadahili wengine, latarajiwa kutumia makala ya tatu ya Mbio za Kijamii kuhubiri umoja, amani na mshikamano miongoni mwa vijana. Viongozi wa kanisa hilo wasema Kitengela imekuwa kitovu cha machafuko kila kunapotokea maandamano, na kuwa ni wakati wa kutafuta njia za kuwafikia vijana kwa mazungumzo kupitia jukwa la michezo.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%