Familia zatoa saa 24 kwa serikali kuwaachilia vijana waliotekwa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Familia za vijana watatu wanaodaiwa kutekwa na maafisa wa usalama katika maeneo ya Mathare na Kiamaiko zimetoa makataa kwa serikali kuwaachilia wana wao ndani ya saa 24, la sivyo zitaandamana Jumanne. Familia ya mwanaharakati Davis Lichuma imesema kuwa aliondoka nyumbani kushiriki maandamano ya ukumbusho wa Gen Z kabla ya kudaiwa kuchukuliwa katikati ya jiji na watu wanaoshukiwa kuwa maafisa wa usalama. Familia nyingine mbili pia zimetaka majibu kuhusu kutoweka kwa vijana wao huku zikitaka hatua za haraka kuchukuliwa ili kuhakikisha wanapatikana salama.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%