Viongozi wa Ukambani wahimiza uungwaji mkono wa Rais Ruto

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Baadhi ya viongozi wa serikali na wanasiasa kutoka eneo la Ukambani wamewataka wakazi wa eneo hilo kumuunga mkono William Ruto katika azma yake ya kuwania muhula wa pili wa uongozi kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Viongozi hao walisema uungwaji mkono huo utasaidia kuendeleza miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika eneo hilo na nchini kwa ujumla.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%