Muungano wa wanasosholojia wazinduliwa kulinda haki za wafanyakazi
Community Score: 50% | 4 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Muungano wa wanasosholojia wa kutetea maslahi ya wafanyakazi katika miradi ya serikali na ya kibinafsi umeanzishwa rasmi, ukiwa na lengo la kuhakikisha haki za binadamu zinaheshimiwa. Kuanzishwa kwa muungano huu kunatarajiwa kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 600 ambazo zimekuwa zikipotea katika miradi ya maendeleo kutokana na ukiukwaji wa maslahi ya wafanyakazi, hali inayochangia migomo.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%