Kaunti ya Mombasa yalaumu mwekezaji kwa kuziba mkondo wa maji taka

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Serikali ya Mombasa kaunti yadai kuwa mwekezaji wa kibinafsi amechangia kuziba mkondo wa maji taka katika eneo la Mtopanga. Kaunti imesema hali hiyo inahatarisha afya ya wakazi kutokana na kuzorota kwa mfumo wa maji taka na imesisitiza kuwa hatua zitachukuliwa kuhakikisha mkondo huo unafunguliwa na mazingira yanalindwa.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%