Wanawake wawezeshwa kiuchumi kupitia NGAF Samburu
Community Score: 50% | 108 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Makundi ya akina mama katika eneo la kisima Samburu magharibi, yapigwa jeki kwa kupewa mahema na viti vya kukodisha kutoka hazina ya NGAF, ili kuongeza mapato yao. Akina mama hao waelezea kusakamwa na mawimbi mazito ya mila pamoja na gharama ya maisha.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%