Wanafunzi wa Utumishi Gilgil warejea shuleni baada ya mkasa wa moto

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 92 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wanafunzi wa kidato cha nne wa Utumishi Girls Academy Gilgil wamerejea shuleni baada ya taasisi hiyo kufungwa kwa zaidi ya mwezi mmoja kufuatia mkasa wa moto uliosababisha vifo vya wanafunzi 16. Wanafunzi hao wamerejea siku moja baada ya wenzao wanane kushtakiwa kwa makosa 16 ya mauaji, huku uongozi wa shule ukifanya mageuzi kadhaa ya kiusalama na mwalimu mkuu kupewa likizo ya lazima ili kuhakikisha mazingira salama ya kujifunzia.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%