Familia zataka majibu kuhusu wanaharakati wanaodaiwa kutekwa nyara

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 3 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Familia za watu watatu wanaodaiwa kutekwa nyara na polisi wakati wa maandamano ya kumbukumbu ya Gen Z ya Juni 25 zinataka majibu kutoka kwa serikali kuhusu waliko jamaa zao. Familia za MacMillan Kiarie, Evans Otieno na Michael Oloo zinataka jamaa zao waachiliwe waliko au wafikishwe mahakamani, wiki moja baada ya kutoweka.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%