Katibu Fikirini atoa taarifa kuhusu kifo cha Cecil Ouma

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 24 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Katibu wa Wizara ya Vijana na Michezo, Fikirini Jacobs, ameandikisha taarifa kuhusiana na kifo cha kijana Cecil Ouma, aliyepigwa risasi kwa njia tata ndani ya gari linalohusishwa naye katika Barabara ya Park Road, Nairobi. Fikirini, aliyefika katika makao makuu ya polisi kutoa taarifa yake, amesema anashirikiana na maafisa wa upelelezi kufuatia tukio hilo. Haya yanajiri huku ripoti ya upasuaji wa maiti ikionyesha kuwa Ouma alipigwa risasi moja iliyoingia kwenye pafu na kukwama kwenye uti wa mgongo.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%