Katibu wa wizara ya usalama Raymond Omollo asema utumizi ya akiliunde waibua changamoto mpya
Community Score: 50% | 57 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Serikali yapendekeza kufanyiwa marekebisho kwa Sheria ya matumizi mabaya ya kompyuta na uhalifu wa Mmtandaoni ya mwaka 2018. Katibu wa wizara ya usalama Raymond Omollo, aelezea wasiwasi kuwa utumizi ya akili unde waibua changamoto mpya ambazo zafichua mapungufu katika sheria hiyo. Omollo alikuwa akizungumza katika mkutano wa sita wa Mfumo wa Usimamizi wa Usalama wa Habari mjini Naivasha.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%