Wanawake Kwale wageuza taka za vyakula kuwa chanzo cha mapato
Community Score: 50% | 234 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Kila siku mamia ya tani za mabaki ya vyakula kutoka Kwa masoko, mikahawa na hoteli huishia kwenye jaa. Yanapooza huzalisha gesi ya methane, mojawapo ya gesi hatari zinazochochea mabadiliko ya tabianchi. Lakini katika Kaunti ya Kwale, Kundi moja la wanawake limegeuza taka hizi kuwa rasilimali kupitia mbinu ya kisasa inayotumia nzi aina ya Black Soldier Fly. Mwandishi wetu Lawrence Ng’ang’a anatueleza jinsi taka za kuoza zinavyogeuzwa kuwa lishe ya mifugo, mbolea na mapato Kwa baadhi ya wanawake.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%