Samburu yajitetea dhidi ya ripoti ya mkaguzi wa hesabu

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 100 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Serikali ya kaunti ya samburu imejitetea dhidi ya ripoti ya mkaguzi wa fedha za umma Nancy Gathungu, ya mwaka 2024/2025 iliyofichua ubadhirifu wa fedha kwenye matumizi yake. Kaunti hiyo imeendelea na mpango wa kutoa ngamia kwa wakazi licha ya madai ya ufujaji wa pesa kupitia mpango huo.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%