Polisi washika doria katika barabara tofauti ili kuzuia hadhara maandamano ya sabasaba
Community Score: 50% | 4.8K views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Julai 7 mwaka wa 1990... ilikuwa siku ambapo viongozi wa kisiasa walipanga mkutano wa hadhara kushinikiza uchaguzi huru na kuelekeza taifa kwa siasa za vyama vingi. Japo viongozi hao kama Kenneth Matiba na Charles Rubia walikamatwa siku chache kabla, wananchi walifurika jijini Nairobi na miji mengine wakilalamikia dhuluma za serikali. Takriban watu 20 waliuawa na zaidi ya 1000 walikamatwa.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%