Wakazi wajitafutia maji Kajiado

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 117 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Kaunti ya Kajiado ni miongoni mwa kaunti kame nchini ambapo maeneo mengi hukabiliwa na uhaba wa maji safi. Wakazi wa mashinani hulazimika kutembea mwendo mrefu kila siku kutafuta maji. Kama njia moja ya kukabiliana na changamoto hiyo, wakazi wa mji wa kajiado wafanya matembezi ya zaidi ya kilomita sita kuchangisha fedha kwa ajili ya uchimbaji wa kisima cha maji katika eneo la Oltaraja, Ildalalelutuk, Kajiado ya kati.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%