| KILIMO NA BIASHARA | Mikutano wa uwekezaji kwenye mbinu za kilimo wafanyika
Community Score: 50% | 73 views | 6d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Mabadiliko ya Hali ya Hewa Barani Afrika yamewafanya wabunifu kuweka juhudi zaidi kutafuta suluhu ya changamoto zinazoibuka katika sekta ya kilimo. Katika Mkutano wa Uwekezaji kwenye mbinu za kilimo kinachoweza kustahimili mabadiliko ya hali ya hewa, wafadhili na wadau walijadili mbinu mbalimbali zikiwemo jinsi ya kukabiliana na taka za kikaboni na uzalishaji wa kisasa wa kahawa
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%