Viongozi wa jamii ya Endorois Baringo wanadai warejeshewe ardhi yao

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 156 views | 6d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Viongozi wa jamii ya Endorois kaunti ya Baringo wametoa wito kwa Serikali ya Kenya kutekeleza uamuzi wa kihistoria wa mahakama ya Afrika uliotolewa mwaka wa 2010 na ambao uliamrisha kuwa jamii hiyo ifidiwe na kurejeshewa haki zake za ardhi baada ya kufurushwa kutoka maeneo yanayozunguka Ziwa Bogoria mwaka 1974.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%