Ujenzi wa jumba la huduma za uzazi waanza Loosuk Kaunti ya Samburu
Community Score: 50% | 214 views | 6d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Wakazi wa Loosuk na bonde la Malaso samburu magharibi, wana kila sababu ya kutabasamu baada ya uzinduzi wa ujenzi wa jengo la huduma za afya ya uzazi. Wakazi wa eneo hilo husafiri mwendo mrefu hadi mjini Maralal katika hospitali ya rufaa ya samburu kutafuta huduma hizo, lakini sasa wana matumaini kuwa mwendo huo utafupishwa..
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%