Viongozi wanawakekutoka kaunti ya Homa bay walalamikia uhuni katika siasa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 27 views | 5d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Baadhi ya viongozi wanawake kutoka kaunti ya Homa bay waelezea hofu yao kutokana na misururu ya ghasia za wahuni kwenye mikutano ya siasa. Hali hii wasema itaathiri pakubwa azimio la wanawake wengi wanaotaka kuwania viti mbalimbali vya uongozi.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%