Watu wanne wauawa katika uvamizi wa Samburu
Community Score: 50% | 0 views | 4d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Hofu imetanda katika eneo la Nolkera, Samburu County, baada ya watu wanne kuuawa katika uvamizi wa wizi wa mifugo. Wavamizi wenye silaha walivamia wafugaji waliokuwa malishoni, na kusababisha makabiliano makali ya risasi. Mauaji hayo yametokea saa chache baada ya Waziri wa Usalama wa Ndani, Kipchumba Murkomen, kuzuru eneo hilo na kuahidi kuimarisha operesheni dhidi ya majangili na wahalifu wanaojihusisha na wizi wa mifugo.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%