Watu watatu wafariki katika ajali ya Mbagathi

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 84 views | 4d

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Watu watatu wamefariki baada ya gari walimokuwa wakisafiria kuruka juu ya daraja na kuteketea kwa moto kwenye Barabara ya Mbagathi jijini Nairobi. Ajali hiyo iliyotokea saa nane usiku wa kuamkia leo ilitokea baada ya gari la kibinafsi kukosa mwelekeo na kupanda daraja linalotumiwa na watembea kwa miguu. Miili ya watu hao watatu imehifadhiwa katika City Mortuary huku uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo cha ajali hiyo.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%