Kinara wa DCP Rigathi Gachagua adai njama za kuvuruga uchaguzi wa Ol Kalou
Community Score: 50% | 272 views | 4d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Haya yakijiri, Kinara wa DCP Rigathi Gachagua, sasa anadai kuwa kuna njama ya serikali kuwatumia maafisa wa polisi, kuvuruga uchaguzi mdogo wa Olkalou. Akizungumza Nyumbani kwake Wamunyoro huko Nyeri, Gachagua anadai kuwa serikali inafanya juhudi kwa hali na mali kumhakikishia mgombea wa chama cha UDA ushindi. Aidha anadai kuwa maafisa wanaopangwa kutumika ni wale wasiovaa sare rasmi. Aidha, Naibu Kinara wa Jubilee Fred Matiang’i ameifokea tume ya Uchaguzi IEBC kwa kile alichotaja ni kushindwa kudhibiti matukio kwenye Kampeni za Olkalou,
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%