Watu watatu wajeruhiwa katika ghasia za Ol Kalou
Community Score: 50% | 308 views | 4d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Ghasia zimeshuhudiwa kwenye kampeini za uchaguzi mdogo wa eneobunge la Ol Kalou ambako watu watatu wamejeruhiwa. Ghasia hizi ambapo msafara wa chama cha DCP uliripotiwa kuvamiwa ulipokuwa kwenye kampeni zikitokea siku tano kabla ya uchaguzi huo mdogo kuandaliwa.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%