Familia mbili nakuru zinalalamika fidia ya jamaa wao uliouawa wakati wa maandamano

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 0 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Familia mbili ambazo ziliwapoteza wana wao wakati wa maandamano ya Gen Z mwezi Juni 2024 mjini Nakuru zinalalamika kukosa fidia ya shilingi milioni tatu kila moja, kama ilivyoahidiwa na serikali kupitia kamati maalum ya fidia inayoongozwa na Profesa Makau Mutua. Familia hizo zinalaumu kamati hiyo kwa kuwacheleweshea fidia, huku wakiendelea kuishi na makovu ya ukatili wa asasi za serikali ambao uliwapokonya wapendwa wao. Maryanne Nyambura alizungumza na familia hizo na kuandaa taarifa ifuatayo.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%