Ni siku ya tano tangu mfanyibiashara Jimmy Mutava Mwanzia kutoweka eneo la Mlolongo
Community Score: 50% | 8 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Siku ya tano tangu mfanyibiashara Jimmy Mutava Mwanzia kutekwa nyara, picha mpya za CCTV zinaonyesha msururu wa matukio na sura za watu waliokutana naye. Mmoja kati ya watu hao ni afisa wa ngazi ya juu katika kituo cha polisi cha Mlolongo. Ode Francis anatufunulia sura hizo na kuelezea hali ilivyokuwa kabla ,wakati na baada ya Jimmy Mutava Mwanzia kutekwa nyara.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%