Gari aina ya Prado inachunguzwa na DCI kwenye mauaji ya Dkt. Victoria Mutiso
Community Score: 50% | 67 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Maafisa wanaochunguza mauwaji ya Dkt. Victoria Nthunya Mutiso sasa wanahusisha gari aina ya Prado lililokuwa kwenye eneo la mauwaji na lile lililotoweka mwezi februari mwaka huu wakati ambapo nyumba ya marehemu ilipobomolewa. Inaarifiwa kuwa gari hilo lilitoweka na mali kuharibiwa wakati maafisa wa polisi kutoka kituo cha mlolongo walipofika nyumbani kwa dkt mutiso kutekeleza agizo la kumfurusha. Na kama anavyoarifu ben kirui, wapelelezi wanasema amri hiyo ya mahakama iliwasilishwa kwa polisi na mshukiwa wa mauwaji hayo Rose Mbithe Mulwa.
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%