Watu wanane wamefariki kwenye ajali kirinyaga

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 180 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Watu wanane wamefariki kufuatia ajali ya barabarani katika eneo la Murubara kwenye Barabara Kuu ya Mwea kuelekea Embu, Kaunti ya Kirinyaga. Ajali hiyo ilihusisha tuk-tuk iliyogongana na lori la kubeba mizigo lililokuwa likielekea Embu. Kamanda wa Polisi wa Kaunti Ndogo ya Mwea Mashariki, Stephen Okal amesema kuwa wanane hao walifariki papo hapo. Na kama anavyoarifu Serfine Achieng Ouma, watu wengine watatu akiwemo dereva wa lori walijeruhiwa.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%