Ruto arudia wito wa mazungumzo kuhusu Ruwaza ya 2060
Community Score: 50% | 0 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto asubuhi ya leo amefanya mkutano na waumini wa Friends Church In Kenya, katika Ikulu YA NAIROBI, ambapo alirudia wito wake wa mazungumzo kuhusu pendekezo la RUWAZA YA 2060. Rais pia alitumia fursa hiyo kueleza mafanikio ambayo serikali yake imepata katika miaka minne iliyopita, ikiwa ni pamoja na mageuzi katika ufadhili wa elimu, huduma Za afya kwa wote, kilimo, na uimarishaji wa uchumi. Aidha, aliwakosoa wapinzani wake wa kisiasa kwa kushindwa kuwaeleza Wakenya mipango waliyonayo kwa ajili ya nchi.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%