Watu watatu wafariki katika ajali ya barabarani Machakos

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 57 views | 2w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Watu watatu wamefariki dunia huku wengine wakijeruhiwa kufuatia ajali mbaya barabarani iliyohusisha pikipiki na gari aina ya maruti katika eneo la Mutituni, kaunti ya Machakos. ajali hiyo ilitokea baada ya pikipiki iliyokuwa ikielekea mjini Machakos kugongana gari hilo lililokuwa likielekea Kangundo.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%