Viongozi wa Pwani wataka nafasi ya naibu rais endapo wapiga kura watafikia milioni nne
Community Score: 50% | 233 views | 2w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Viongozi wa pwani wanaounga mkono serikali jumuishi wametangaza kuanzisha mazungumzo na Raisi William Ruto ifikapo December mwaka huu ya kutaka eneo la pwani kutengewa nafasi ya naibu wa Raisi iwapo eneo hilo litakua limeandikisha zaidi ya wapiga kura milioni 4.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%