Mgomo wa wahudumu wa afya watatiza huduma hospitalini

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 1 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Huduma za afya katika hospitali mbalimbali za umma nchini zimetatizika kufuatia mgomo wa wahudumu wa afya. Katika Hospitali Kuu ya Kenyatta, huduma zimetatizika baada ya wauguzi kuanza mgomo wao rasmi hii leo wakilalamikia kutotekelezwa kwa mkataba wa maelewano wa mwaka 2025–2029. Katika Kaunti ya Mombasa, kina mama waliojifungua ni miongoni mwa wale waliothirika na mgomo huu.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%