Viongozi wachochezi huenda wakazuiwa kuwania uchaguzi

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 52 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Huenda baadhi ya viongozi wanaochunguzwa kwa sasa kuhusiana na tuhuma za uchochezi wakazuiwa kugombea nyadhifa za uongozi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Haya yamebainishwa kwenye uzinduzi wa kamati ya pamoja ya taasisi mbalimbali za serikali iliyopewa jukumu la kuwakabili wanaoendeleza matamshi ya chuki na uchochezi. Willy Lusige anaarifu.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%