Madarasa mapya yaleta matumaini ya kuimarika kwa elimu Kajiado kusini

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 176 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Kukamilika kwa ujenzi wa madarasa sita katika Shule ya Msingi ya Enkii huko Kajiado Kusini kumetoa matumaini ya kuimarika kwa elimu katika shule hiyo. Awali wanafunzi walikuwa wanasomea kwenye mazingira duni, madarasa hayo yalikuwa katika hali mbaya na kuhatarisha maisha ya wanafunzi.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%