Rais William Ruto azindua marupurupu ya wazee wa kijiji
Community Score: 50% | 12 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto amezindua mipango ya kuwalipa wazee wa kijiji kote nchini marupurupu ya shillingi elfu tatu kila mwezi. Rais vile vile amewaahidi wazee hao kuwa serikali itawalipia usajili wa SHA pamoja na kuwanunulia simu za rununu kama mbinu ya kuhakikisha kwamba wazee hao wanafanya kazi yao. Katika hafla hiyo iliyofanyika katika ikulu ya nairobi, rais aliwasifu wazee hao kwa majukumu ya kusaidia kutekeleza mipango na miradi ya serikali mashinani. Wakati huo huo, viongozi wa serikali kuu waliohudhuria kikao hicho cha wazee takriban elfu kumi walitumia fursa hiyo kumpigia debe Rais Ruto katika azma yake ya kuchaguliwa tena mwaka ujao.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%