Mbunge John Kaguchia afikishwa mahakamani kwa kesi ya uchochezi

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 152 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Mbunge wa Mukureini John Kagichia leo amefikishwa katika mahakama ya milimani akikabiliwa na shtaka la kutoa matamshi ya uchiochezi katika mkutano wa kisiasa eneo la mlima kenya. Kulinaga na upande wa mashtaka, matamshi aliyotoa kaguchia yalikuwa ya kutishia usalama wa wananchi ambao hawaungi sera za wanaopinga serikali iliyoko mamlakani.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%