Wazee wa vijiji kulipwa Sh3,000 kila mwezi

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 1 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wazee wa vijiji kote nchini sasa wataanza kulipwa shilingi elfu tatu kwa kila mwezi. Hatua hii ikiwa ya kwanza katika historia kwa wazee hawa wa mitaa kutambuliwa kitaifa kwa jukumu lao mashinani. Kwenye mkutano na Rais Ruto Ikulu ya Nairobi, Rais pia amewaahidi wazee hawa bima ya SHA na hata simu kuendesha kazi zao. Brenda Wanga na mengi kuhusu ziara hii ya punde ya makundi yanayofika kukutana na Rais Ikulu.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%