Kijana atembea kilomita 500 kuhubiri amani kutoka mlima Elgon hadi Nairobi
Community Score: 50% | 0 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Kijana mmoja Mwenye Umri wa miaka 23 kutoka kijiji cha Kaboywo huko Kaptama, eneo bunge la mlima Elgon, ameshangaza wengi baada ya kukamilisha safari ya Kilomita 500 akitembea kwa miguu Kutoka Kijiji chake hadi jijini Nairobi kuhubiri amani. Musa Korir alitumia siku nane kwenye safari hiyo, ambapo kila alikopumzika, alipitisha jumbe za amani kwa wakenya. Korir anasema amechochewa na machafuko ya awali katika eneo lake la Mlima elgon kuanzisha harakati ya kuhubiri Amani, akilenga kuhamasisha viongozi wa kisiasa na wafuasi wao
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%