Wanawake waongoza ukarabati wa barabara kaunti ya Kisii

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 13 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Mpango wa ujenzi wa barabara ulionzishwa na serikali ya kaunti ya Kisii miezi miwili iliyopita umewapa afueni wakazi huku zaidi ya Kilomita 950 za barabara ambazo hazikuwa zinapitika zikikarabatiwa. Tofauti na maeneo mengi, ujenzi huo unaendelezwa zaidi na wanawake ambao wameshika usukani wa mashine za kutengeza barabara ambazo kawaida hudhibitiwa na wanaume.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%