Wakulima Taita Taveta wakumbatia kilimo cha alizeti kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi
Community Score: 50% | 14 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Huku mabadiliko ya hali ya hewa yakiendelea kushuhudiwa nchini, wakulima kaunti ya Taita Taveta wameanza kukumbatia kilimo cha Alizeti ili kujikimu kimaisha.Kilimo hicho kimepata uungwaji mkono zaidi baada ya kubainika kuwa wanyamapori ,na hasa Ndovu, hawapendi mmea huo na hivyo wakulima kupata afueni kubwa na mavuno chungu nzima.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%