Familia yataka polisi wakamatwe kufuatia kifo cha mhudumu wa boda boda

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 47 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Familia ya Eric Otieno, mhudumu wa boda boda aliyefariki katika njia tata baada ya kukamatwa na kuzuiliwa katika Kituo cha Polisi cha Muthaiga Jumamosi, sasa inawataka maafisa wa polisi waliotangamana naye kukamatwa. Otieno, anayedaiwa kudhulumiwa ndani ya kituo hicho cha polisi, alifariki dakika chache baada ya kuachiliwa huru huku ukaguzi wa maiti ukithibitisha kuwa alifariki kutokana na majeraha aliyoyapata tumboni baada ya kupigwa vibaya.

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%