Uhaba wa vifaranga vya samaki waathiri wafugaji Busia

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 180 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Kutokana na ongezeko la wafugaji wanaojitosa katika ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba na vidimbwi katika kaunti ya Busia, uhaba mkubwa wa samaki umeanza kushuhudiwa na kupelkea baadhi ya wafugaji kutafuta samaki wa kufuga katika kaunti ya murang'a. ukosefu wa maji safi na vifaa muhimu pamoja na gharama ya juu ya vyakula vimechangia pakubwa upungufu huo.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%