ODM yakabiliwa na mtihani wa kwanza bila Raila Odinga
Community Score: 50% | 57 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Chama cha ODM kinajiandaa kushiriki uchaguzi mkuu bila aliyekuwa kinara wake wa muda mrefu Raila Odinga kwa mara ya kwanza tangu chama hicho kuanzishwa. Hali hiyo inayofungua mjadala kuhusu uongozi wa baadaye na uwezo wa chama hicho kuwa na usemi mkubwa kwenye uchaguzi mkuu ujao. Mjadala umeibuka kuhusu chama hicho kumezea mate kiti cha naibu rais na haswa ni nani atakayependekezwa kushikilia nafasi hiyo iwapo muungano wake na UDA utasalia. Walter Nyambaga anaangazia changamoto zinazoikabili ODM na kukiweka chama hicho kwenye mizani ya siasa za kitaifa.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%