Busia yaimarisha ufugaji wa ng'ombe kuongeza uzalishaji wa maziwa

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 97 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Serikali ya kaunti ya Busia inalenga kuboresha mifugo hasa ng'ombe ili kuimarisha uzalishaji wa maziwa katika kaunti hiyo kupitia mbinu za kisasa za upandikizaji mimba kwa mifugo. hatua hiyo inalenga inalenga kuongeza uzalishaji wa maziwa ili kukomesha utegemezi wa bidhaa hiyo kutoka nchi jirani ya Uganda.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%