Wafugaji wa maziwa katika kaunti ya Nandi wahamasishwa kutumia mbinu bora za ufugaji

By Citizen TV Kenya

Community Score: 50% | 102 views | 1w

0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down

Wafugaji wa maziwa katika kaunti ya Nandi wahamasishwa kutumia mbinu bora za ufugaji ili kuongeza uzalishaji wa maziwa na kuhakikisha viwango vya juu vya usafi vyazingatiwa katika mnyororo mzima wa uzalishaji. Mafunzo hayo yandaliwayo na bodi ya maziwa Kenya yawaleta pamoja wafugaji kutoka maeneo bunge ya Tinderet, Chesumei, Mosop, Emgwen, Nandi Hills na Aldai kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kuboresha sekta ya maziwa.

Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News

More from Citizen TV Kenya

  • | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
  • The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
  • THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
  • KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
  • Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
  • Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%