Vijanakatika Kaunti ya Pokot Magharibi, waraiwa kutafuta mafunzo yatakayowasaidia kupata ajira
Community Score: 50% | 190 views | 1w
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Vijana watakiwa kujitokeza na kutumia kikamilifu fursa zitolewazo na serikali pamoja na mashirika ya kijamii ili kujipatia ajira na kujiongezea mapato badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyoweza kuwaathiri. wito huo watolewa wakati wa maadhimisho ya wiki ya vijana katika Kaunti ya Pokot Magharibi, ambapo viongozi wanasisitiza kuwa uwekezaji kwa vijana ndio msingi wa maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%