Rais William Ruto asema muungano wa UDA na ODM lazima ushinde uchaguzi wa 2027
Community Score: 50% | 148 views | 6d
0 community ratings: null thumbs up, null thumbs down
Rais William Ruto sasa anasema muungano wa chama cha uda na ODM lazima upate ushindi katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. akizungumza katika kongamano la viongozi wa muungano huo huko naivasha, rais Ruto ameelezea mafanikio ya serikali yake anayosema yataupa muungano huo ushindi akisema ushindi wa upinzani utasambaratisha azma ya kubadilisha taifa la kenya. mkutano huo unafanika ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya wakenya kwenda debeni kwa uchaguzi mkuu agosti mwaka ujao
Tags: Citizen TV, Citizen TV Live, Livestream, News
More from Citizen TV Kenya
- | DAY BREAK | Finance bill 2026 explained [ part 1] — Score: 50%
- The explainer interview | Day of delayed justice — Score: 50%
- THE EXPLAINER 23RD JUNE, 2026 — Score: 50%
- KNCCI launches youth enterprise program — Score: 50%
- Family Bank debuts on NSE in major market listing — Score: 50%
- Teen girl hospitalized after assault as another family seeks justice in Thika murder — Score: 50%